Hatimaye kitendawili cha mshambuliaji anayetua kuchukua nafasi ya Hafiz Konkoni kimeteguliwa
Ni mshambuliaji Joseph Guede Gnadou raia wa Ivory Coast
Guede anatua Yanga akiwa mchezaji huru baada ya kumalizana na klabu ya Tuzlaspor ya Uturuki
Kabla ya kutimkia Uturuki, Guede aliitumikia FAR Rabat akiwa sehemu ya kikosi kilichotwaa ubingwa wa Ligi Kuu ya Morocco msimu uliopita
Karibu Jangwani Guede...!
ADVERTISE HERE