Michuano ya kombe la Mapinduzi imefika tamati visiwani Zanzibar leo kwa mchezo wa fainali kati ya Mlandege dhidi ya Simba kupigwa katika uwanja wa New Amaan Stadium
Mlandege wametuliza mji baada ya kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Simba na kutetea taji hilo ambalo pia walilitwaa msimu uliopita
Bao pekee la Mlandege lilifungwa na Joseph Akandwanao raia wa Jamaica kwenye dakika ya 54
Mlandege wanabeba kitita cha Tsh Milioni 100 baada ya kutwaa taji hilo
ADVERTISE HERE