Muda wa mapumziko umemalizika kwa wachezaji wa Yanga! Ndivyo unavyoweza kusema baada ya nyota wa timu hiyo kuanza kurejea mazoezini
Kiungo mshambuliaji Pacome Zouzoua ni miongoni mwa wachezaji waliorejea baada ya mapumziko
Kikosi cha Yanga kinatarajiwa kurejea rasmi Avic Town siku ya Jumatatu


ADVERTISE HERE