Ngushi kuibukia Coastal Union

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
12 Jan 2024
Ngushi kuibukia Coastal Union

Klabu ya Coastal Union inatajwa kukamilisha usajili wa mshambuliaji wa Yanga Crispine Ngushi

Ngushi anajiunga na Coastal Union kwa mkopo wa hadi mwishoni mwa msimu

Tangu aliposajiliwa na Yanga akitokea klabu ya Mbeya Kwanza, Ngushi amekuwa na wakati mgumu kujihakikishia nafasi kwenye kikosi cha kwanza

Majeruhi ya mara kwa mara yamechangia kumkwamisha kufikia matarajio ya wengi

Mkataba wake na klabu ya Yanga utamalizika mwishoni mwa msimu huu

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
6h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
9h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
10h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
12h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
22h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’