Mamia wajitokeza uwanja wa Namfua

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
1 Apr 2018
Mamia wajitokeza uwanja wa Namfua
Idadi kubwa ya mashabiki wamejitokeza kwenye uwanja wa Namfua mkoani kushuhudia mchezo wa robo fainali kombe la FA kati ya wenyeji Singida United dhidi ya mabingwa wa soka Tanzania Bara, Yanga.

Misururu ya mashabiki imeanza kuonekana nje ya uwanja huo kuanzia majira ya saa nne asubuhi wengi wakiingia uwanjani mapema kuepuka usumbufu.



Viingilio vya mchezo huo VIP ni Tshi 10,000/- wakati kule mzunguuko ni Tsh 5,000/-
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
3h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
12h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
17h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
21h ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
22h ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
22h ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
23h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
1d ago
READ MORE β†’