Aziz Ki, Mayele wakutana

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
11 Jan 2024
Aziz Ki, Mayele wakutana

Jana DR Congo na Burkina Faso zilicheza mechi ya Kimataifa ya kirafiki ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya michuano ya Afcon 2023 inayoanza Jumamosi, Januari 13 huko Ivory Coast

Burkina Faso waliibuka na ushindi wa mabao 2-1 katika mchezo huo ambao uliwakutanisha Stephane Aziz Ki na Fiston Mayele, mshambuliaji wa zamani wa Yanga

DR Congo wako kundi F ambalo pia Tanzania imo sambamba na Zambia na Morocco wakati Burkina Faso iko kundi D pamoja na Algeria, Angola na Mauritania

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
3h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
3h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
3h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
7h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
22h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
22h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’