Tabora United wamtaka Ngushi kwa mkopo

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
7 Jan 2024
Tabora United wamtaka Ngushi kwa mkopo

Klabu ya Tabora United imewasiliana na uongozi wa Yanga ikimuhitaji mshambuliaji Chrispine Ngushi kwa mkopo hadi mwishoni mwa msimu

Ngushi hajawa na mwendelezo mzuri katika kikosi cha Yanga tangu aliposajiliwa na mabingwa hao soka Tanzania Bara akitokea klabu ya Mbeya Kwanza

Hata hivyo katika michuano ya kombe la Mapinduzi inayoendelea visiwani Zanzibar, Ngushi ni miongoni mwa wachezaji wanaofanya vizuri

Ngushi amebakiza miezi sita katika mkataba wake na Yanga, huenda akaruhusiwa kujiunga na walina asali hao kabla ya dirisha dogo la usajili kufungwa Januari 15

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
13m ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
15h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
15h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
19h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
19h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
23h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’