Mlinda lango wa Yanga Djigui Diarra ameibuka mshindi wa tuzo ya mchezaji bora wa Yanga kwa mwezi Disemba 2023
Diarra ameibuka mshindi baada ya kupigiwa kura kwa wingi na mashabiki wa Yanga akiwapiku Nickson Kibabage na Ibrahim Bacca
Diarra ataondoka na kitita cha Tsh Milioni 4 pamoja na tuzo kutoka kwa wadhamini (NIC)
Anakuwa mchezaji wa tatu kushinda tuzo hiyo baada ya Stephane Aziz Ki na Pacome Zouzoua

ADVERTISE HERE