Yanga yafunguka majeraha ya Okrah

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
5 Jan 2024
Yanga yafunguka majeraha ya Okrah

Daktari wa Yanga Moses Etutu amesema kiungo mshambuliaji Augustine Okrah afya yake inaendelea kuimarika baada ya kutibiwa

Okrah alipata majeraha katika mchezo dhidi ya KVZ ambapo Etutu amesema alivunjika mfupa wa pua

"Afya ya Okrah inaendelea vizuri akiendelea kuimarika. Baada ya kumfanyia vipimo tulibaini amepata majeraha katika mfupa wa pua hali iliyopelekea atoke damu nyingi puani"

"Lakini baada ya kutibiwa hali yake imeendelea kuimarika na pengine ataruhusiwa kutoka Hospitalini hapo kesho," alisema Etutu

Kulingana na aina ya majeraha aliyopata, Okrah anaweza kuwa nje hadi wiki tatu akitarajiwa kurejea katika majukumu yake mwishoni mwa mwezi huu

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
7h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
11h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
16h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
16h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
20h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’