Gift Fred huyu ni beki

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
3 Jan 2024
Gift Fred huyu ni beki

Katika mechi mbili alizocheza kwenye michuano ya kombe la Mapinduzi huko Zanzibar, beki Gift Fred ameonyesha ubora wake

Imekuwa sio rahisi kwake kupata nafasi kwenye kikosi cha kwanza kutokana na ushindani uliopo lakini Gift ameonyesha ni beki aliyekamilika

Pengine kiwango bora alichoonyesha katika michuano hii kitamshawishi kocha Miguel Gamondi kumpatia nafasi zaidi

Gift ndiye beki anayetegemewa huko Zanzibar baada ya Dickson Job, Ibrahim Bacca na Bakari Mwamnyeto kwenda kwenye majukumu ya timu ya Taifa katika michuano ya Afcon 2023

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
6h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
6h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
9h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
10h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
14h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
15h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’