Ngushi anataka namba kikosi cha Gamondi

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
1 Jan 2024
Ngushi anataka namba kikosi cha Gamondi

Mshambuliaji Crispine Ngushi jana alibeba tuzo ya nyota wa mchezo wa kombe la Mapinduzi kati ya Jamhuri dhidi ya Yanga uliopigwa uwanja wa Amaan Complex na Yanga kuibuka na ushindi wa mabao 5-0

Katika mchezo huo Ngushi alikuwa 'on-fire' akifunga mabao mawili na kutoa pasi moja ya bao

Kiwango bora alichoonyesha katika mchezo huo kilimfanya aondoke na tuzo hiyo

Pengine hizi ni salama anazituma kwa Gamondi kuwa anaitaka nafasi kwenye kikosi cha kwanza

Aidha kiungo Jonas Mkude na beki Gift Fred bila kumsahau Zawadi Mauya nao walikuwa bora katika mchezo huo. Upande wa kulia, Gamondi alimtumia Denis Nkane katika safu ya ulinzi na alitengeneza bao la kwanza la Ngushi

Skudu nae aliendelea kuonyesha thamani yake akifunga moja ya mabao katika mchezo huo

Wakati kukiwa na hofu ya baadhi ya wachezaji kupunguzwa katika dirisha hili dogo, kila mchezaji anapambana kuonyesha anastahili kuendelea kubaki kikosini

Tayari Augustine Okrah ameingia, ina maana amechukua nafasi ya nyota mmoja wa kigeni

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
7h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
11h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
16h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
16h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
20h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’