Yanga yafanya mazoezi Namfua kabla ya kuikabili Singida United

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
1 Apr 2018
Yanga yafanya mazoezi Namfua kabla ya kuikabili Singida United
Kikosi cha Yanga leo Jumamosi jioni kimefanya mazoezi ya mwisho kwenye uwanja wa Namfua tayari kwa mchezo wa robo fainali kombe la FA dhidi ya Singida United hapo kesho Jumapili, April 01 2018.

Mazoezi hayo ya jioni yalisimamiwa na makocha wasaidizi Shedrack Nsajigwa na Noel Mwandila.

Kocha Mkuu wa Yanga George Lwandamina anatarajiwa kuwasili mkoani Singida kesho mapema kabla ya mchezo huo.

Lwandamina alikwenda nchini Ethiopia kuifuatilia klabu ya Welayta Dicha ambayo itacheza na Yanga April 07 mchezo wa kwanza wa kusaka tiketi ya kutinga hatua ya makundi kombe la Shirikisho Barani Afrika.

Kulingana na taarifa iliyotolewa na Afisa Habari wa Yanga Dismas Ten, Lwandamina atasafiri na mlinda lango Ramadhani Kabwili ambaye alikuwa na majukumu na kikosi cha timu ya Taifa ya vijana chini ya umri wa miaka 20, Ngorongoro Heroes ambacho leo kimelazimishwa suluhu ya 0-0 na DR Congo
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
50m ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
4h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
5h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
9h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
9h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
9h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
19h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
20h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
23h ago
READ MORE β†’