Yanga imepeleka dozi ya 5G visiwani Zanzibar baada ya kuichapa Jamhuri mabao 5-0 katika mchezo wa kombe la Mapinduzi
Akiwa katika kiwango bora leo, mshambuliaji Crispine Ngushi alifunga mabao mawili akiondoka na tuzo ya nyota wa mchezo
Mabao mengine ya Yanga yalifungwa na Clement Mzize, Kibwana Shomari na Skudu
Ni ushindi ambao bila shaka umezitumia salamu timu nyingine zinazoshiriki kombe la Mapinduzi kuwa Yanga inalitaka kombe





ADVERTISE HERE