Yao apania kuweka rekodi Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
30 Dec 2023
Yao apania kuweka rekodi Yanga

Beki Muivory Coast Yao Kouassi amesema anatamani kufanya makubwa zaidi kwenye ligi kuu ya NBC msimu huu akiwa na kikosi cha Yanga

Yao ameasisti mabao matano na kufunga moja, anataka kuvunja rekodi aliyoiweka msimu uliopita alipokuwa na klabu ya ASEC Mimosas ya Ivory Coast.

Beki hiyo amesema wakati akiwa Asec alitoa asisti 12 msimu mzima, kitu anachoamini kama ataenda na kasi aliyoanza nayo katika Ligi Kuu Bara anaweza kuifikia mara msimu utakapomalizika akiwa na mechi 19 na kikosi hicho cha Yanga kilichocheza mechi 11 hadi sasa ikishika nafasi ya pili na pointi 30 nyuma ya Azam

"Nilipokuwa Asec niliasisti 12, lakini hapa nataka kuzifikia hizo au zaidi, kwani kwa jinsi timu yetu ilivyo naona bado nafasi ipo kwa kuwa ligi bado haijamalizika tukiwa duru la kwanza," alisema Yao ambaye ndani ya msimu wake wa kwanza nchini amekubalika haraka

"Mimi kufunga sio kitu muhimu sana kwangu lakini ikitokea nafasi nitafanya, ila kitu napenda ni kuasisti," alisema

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
8h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
9h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
12h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
13h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
17h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
17h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
18h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’