Pacome ajivunia kuitwa Ivory Coast

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
29 Dec 2023
Pacome ajivunia kuitwa Ivory Coast

Licha ya kutopenya kwenye orodha ya mwisho ya wachezaji 27 wa timu ya Taifa ya Ivory Coast wanaokwenda kushiriki michuano ya Afcon 2023, kiungo mshambuliaji wa Yanga Pacome Zouzoua amesema kujumuishwa katika kikosi cha awali ni heshima kubwa kwake

Inafahamika, Ivory Coast ni moja ya Mataifa yenye idadi kubwa ya wachezaji wanaosakata kabumbu barani Ulaya

"Ni faraja kujumuishwa timu awali ya Ivory Coast, nawatakia kila la kheri wachezaji 27 waliochaguliwa. Ni muda wa kurudi mazoezini ili kujiimarisha zaidi," aliandika Pacome katika ukurasa wake wa mtandao wa kijamii

Ivory Coast ni wenyeji wa Afcon 2023, michuano inayoanza Januari 13, Tanzania ikiwa miongoni mwa timu zitakazoshiriki

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
13m ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
4h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
5h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
5h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
8h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
23h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’