Jana klabu ya Yanga ilithibitisha kuachana na aliyekuwa Mkurugenzi wa Mashabiki na Wananchama Haji Mfikirwa baada ya mkataba wake kumalizika
Tayari Yanga imeanza mchakato wa kutafuta mrithi wake ambaye ataendeleza jukumu mama la nafasi hiyo ambalo ni kusimamia usajili wa Wanachama na Mashabiki
ADVERTISE HERE