Mara paap! Ni Okrah

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
29 Dec 2023
Mara paap! Ni Okrah

Taarifa kutoka nchini Ghana zimebainisha kuwa winga wa Benchem United Augustine Okrah tayari amemalizana na Yanga

Wakati Wananchi wakisubiri utambulisho wa mchezaji mpya visiwani Zanzibar, imeelezwa kuwa Okrah tayari yuko Zanzibar

Okrah ndiye kinara wa mabao Ligi kuu ya Ghana akipachika mabao tisa kwenye mechi 10 alizocheza msimu huu

Okrah amewahi kuitumikia Simba msimu uliopita akifunga mabao manner katika ligi kuu ya NBC

Anaweza kutumika katika michuano ya ligi ya mabingwa hivyo kama atasajiliwa na Yanga anaweza kuongezwa iwapo Wananchi watatinga robo fainali

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
2m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
3h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
18h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
18h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
22h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
22h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’