Tuzo ya mchezaji bora wa Yanga (NIC Player of the Month) mwezi Disemba 2023 itakwenda kwa Mlinda lango Djigui Diarra au walinzi Nickson Kibabage na Ibrahim Bacca
Ni baada ya wachezaji hao kuchaguliwa kuwania tuzo hiyo ya mwisho kwa Mwaka 2023
Diarra, Kibabage na Bacca wote wamekuwa na kiwango bora katika kikosi cha Yanga ndani ya mwezi Disemba
Inakuwa tuzo ya tatu baada ya Stephanie Aziz Ki na Pacome Zouzoua kushinda tuzo zilizopita
Kura zinapigwa kupitia Official App ya Yanga
ADVERTISE HERE