Siku kama ya leo alizaliwa kiungo mahiri wa Ndanda FC Mrisho Khalfan Ngassa, ametimiza miaka 29.
Sisi Wana Jangwani bado tunakumbuka na tunaendelea kuuenzi mchango wake mkubwa aliyoifanyia Yanga kwa nyakati tofauti.
Ngassa ni mmoja wa wachezaji waliowahi kuitumikia Yanga kwa mapenzi makubwa, mpaka sasa ukweli ni kwamba yeye ni Yanga Damu!
Heri ya siku ya kuzaliwa UNCLE!

ADVERTISE HERE