Kama alimleta Aziz Ki hata Karamoko inawezekana

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
27 Dec 2023
Kama alimleta Aziz Ki hata Karamoko inawezekana

Rais wa Yanga Injinia Hersi Said amejipambanua kwa uwezo wake wa kushawishi wachezaji bora kujiunga na Yanga

Stephane Aziz Ki ni mfano wa wachezaji ambaye hakuna aliyetarajia angeweza kuja Tanzania kuitumikia Yanga

Ki katika moja ya mahojiano yake, aliweka wazi Hersi alikuwa sababu ya yeye kuja Tanzania kuitumikia Yanga

Hata Khalid Aucho wakati anatoka Misri kuja kujiunga na Yanga misimu miwili iliyopita alimtaja Hersi kuwa sababu

Yanga inahusishwa na mshambuliaji Sankara Karamoko, kinara wa mabao kunako klabu ya Asec Mimosas

Karamoko ndiye anayeongeza orodha ya wafungaji bora ligi ya mabingwa msimu huu akiwa na mabao manne

Nyota huyo pia anahusishwa na klabu kadhaa barani Ulaya hivyo wengi wanaona utakuwa muujiza kwa Karamoko kujiunga na Yanga hasa katika dirisha hili dogo la usajili

Lakini ukweli ni kuwa Hersi alianza muda mrefu kumfuatilia mshambuliaji huyo mwenye umri wa miaka 20

Kama mambo yangekuwa sawa katika dirisha lililopita pengine Karamoko angejiunga na Yanga sambamba na Pacome Zouzoua na Yao Kouassi

Hivyo kwa wale wanaodhani Yanga haiwezi kumshusha Karamoko katika dirisha hili dogo wawe na akiba ya maneno, wasije wakaumbuka kama ilivyokuwa kwa Aziz Ki

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
2h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
6h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
7h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
7h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
10h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’