Kilimanjaro Stars, Zanzibar Heroes kuzindua Amaan Stadium

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
27 Dec 2023
Kilimanjaro Stars, Zanzibar Heroes kuzindua Amaan Stadium

Baada ya kufanyiwa ukarabati mkubwa, Uwanja wa Amaan Visiwani Zanzibar ambao utatumika katika michuano ya kombe la Mapinduzi, utazinduliwa leo Jumatano kwa mchezo wa kirafiki kati ya timu ya Taifa ya Tanzania Bara (Kilimanjaro Stars) dhidi ya timu ya Taifa ya Zanzibar (Zanzibar Heroes)

Mchezo huo ambao hautakuwa na kiingilio utapigwa saa 2:15 Usiku

Maboresho ya Uwanja wa Amaan yamefuata mahitaji yote ya CAF na FIFA hivyo uwanja huo utaweza kutumika hata katika michuano ya Kimataifa inayoandaliwa na CAF/FIFA

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
8m ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
4h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
4h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
4h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
14h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
15h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
17h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
22h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
1d ago
READ MORE β†’