Yanga U20 imefanya kile ambacho walifanya kaka zao kwa kuifumua Simba mabao 5-1 katika mchezo wa ligi kuu ya NBC
Leo Vijana wa Yanga wameshinda mabao 4-0 dhidi ya Simba mchezo wa ligi kuu ya Vijana uliopigwa Azam Complex
Ilibaki kidogo tu Mnara wa 5G usome Azam Complex lakini hata 4G sio haba!
Kiungo mshambuliaji Shekhan Khamis aliyesajiliwa na Yanga katika dirisha hili dogo akitokea JKU, alitumika kwenye mchezo huo na alifunga bao la pili kupitia mpira wa adhabu

ADVERTISE HERE