Yanga tayari iko mkoani Singida ikisubiri mchezo wa robo fainali kombe la FA dhidi ya Singida United.
Kesho Jumamosi inatarajiwa kufanya mazoezi kwenye uwanja wa Namfua, uwanja utakaotumika katika mchezo huo unaopigwa siku ya Pasaka, April 01, 2018.
Sasa unaambiwa tangu Yanga iwasili mkoani Singida mapema leo, maduka ya nguo na vijiwe visivyo rasmi vya biashara vimepambwa na mauzo ya jezi za Yanga.
Jezi za Ibrahim Ajib na Papi Tshishimbi ndio zinazonunuliwa sana na mashabiki wa mkoani Singida.
Mashabiki wengi wananunua jezi ili kuweka kumbukumbu ya siku ya mchezo kuwa miongoni mwa mashabiki walioishuhudia Yanga huku wakiwa na uzi rasmi wa klabu.

ADVERTISE HERE