Wananchi wakiwa na jambo lao hawashindwi

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
21 Dec 2023
Wananchi wakiwa na jambo lao hawashindwi

Ama kwa hakika Wananchi wakiwa na jambo lao hawashindwi! Huu ndio ujumbe ambao ulionekana uwanja wa Benjamin Mkapa jana baada ya mchezo dhidi ya Medeama Fc Yanga ikiibuka na ushindi wa mabao 3-0 katika mchezo wa ligi ya mabingwa barani Afrika

Siku hiyo maalum kwa ajili ya Mdhamini GSM ilifana sana, mashabiki wa Yanga wakijitokeza kwa wingi kuiongezea hamasa timu yao katika mchezo ambao Yanga iliuhitaji zaidi ushindi

GSM alinunua tiketi zote za Mzunguuko na ili kuithaminisha siku hiyo, Wananchi wakatakiwa kuvaa jezi zenye nembo ya GSM ili kupata tiketi ya kuingia uwanjani

Mandhari ya uwanja wa Benjamin Mkapa ilivutia kwa rangi za njano, kijani na nyeusi. Hili ni jambo ambalo awali lilionekana kama haliwezekani lakini kwa hakika lilifanikiwa

Kumbe mashabiki wa Yanga wanaweza kujaza uwanja wa Mkapa huku wakivalia jezi rasmi za klabu yao

Pamoja na jana ilikuwa siku ya kazi lakini zaidi ya mashabiki 40,000 walijitokeza na zaidi ya asilimia 95 walivalia jezi za Yanga

Huu unapaswa kuwa utaratibu wa Wananchi katika kila mechi sasa

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
1m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
3h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
18h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
18h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
22h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
22h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’