Yanga vs Medeama; Ni GSM Day

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
20 Dec 2023
Yanga vs Medeama; Ni GSM Day

Hatimaye ile siku kubwa kwa Wananchi imewadia! Ni GSM Day inayokwenda kuhanikizwa katika mchezo wa ligi ya mabingwa kati ya Yanga dhidi ya Medeama ambao utapigwa uwanja wa Benjamin Mkapa saa 10 jioni

Wananchi wa Dar na maeneo ya jirani leo wanakutana uwanja wa Benjamin Mkapa kuiongezea timu yao hamasa katika mchezo dhidi ya Medeama

GSM amefanya siku hii kuwa maalum kwa kila shabiki wa Yanga baada ya kununua tiketi zote za Mzunguuko

Mageti ya uwanja wa Benjamin Mkapa yalitarajiwa kufunguliwa saa 2 asubuhi ambapo takribani Wananchi 45,000 watahitaji kuvaa jezi ya Yanga tu kuingia uwanjani bure

Ni siku ya burudani pia kwani kutakuwa na burudani kutoka kwa wasanii mbalimbali akiwemo Chid Benz kabla ya mchezo utakaopigwa saa 10 jioni

Unakosaje Mwananchi kwenda uwanjani leo? Leo ni siku kubwa kwa kila shabiki wa Yanga, USHINDI NI LAZIMA kwa Mkapa

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
2h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
6h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
7h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
7h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
10h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’