Siku moja kuelekea GSM Day

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
19 Dec 2023
Siku moja kuelekea GSM Day

Kwa wale wanaohitaji tiketi za VIP A, B na C zinapatikana kupitia vituoni pamoja na mitandao ya simu lakini wale wa Mzunguuko kiingilio chako ni jezi ya Yanga tu iliyotengenezwa na GSM

Kesho Jumatano kilele cha GSM Day kitakuwa pale uwanja wa Benjamin Mkapa katika mchezo wa ligi ya mabingwa dhidi ya Medeama Fc

Muda wa mchezo ni saa 10 jioni. Hii ni mechi ambayo ushindi kwa Yanga ni lazima.

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
3h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
7h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
8h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
8h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
11h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’