Timu ya Medeama imewasili nchini jioni ya leo tayari kwa mchezo wa ligi ya mabingwa dhidi ya Yanga
Mchezo huo utapigwa Jumatano katika uwanja wa Benjamin Mkapa saa 10 jioni
Wakati wapinzani wao wakiwasili, Yanga inaendelea na maandalizi Avic Town kujiandaa na mchezo huo ambao Wananchi wanazihitaji alama zote tatu


ADVERTISE HERE