Kikosi cha Yanga tayari kimewasili mkoani Singida kwa ajili ya mchezo wa robo fainali kombe la FA dhidi ya Singida United.
Yanga imefikia kwenye hoteli ya KBH mjini Singida.
Mchezo baina ya timu hizo utapigwa keshokutwa Jumapili kwenye uwanja wa Namfua.

ADVERTISE HERE