Timu ya Taifa ya vijana chini ya umri wa miaka 20 'Ngorongoro Heroes' kesho Jumamosi inashuka kwenye uwanja wa Taifa kuikabili DR Congo katika mchezo wa kusaka tiketi ya kufuzu AFCON 2019.
Vijana wanne kutoka klabu ya Yanga Ramadhani Kabwili, Ayoub Mohammed, Maka Edward na Said Mussa ni miongoni mwa wachezaji wanaounda kikosi cha kocha Ammy Ninje.
Kila la kheri vijana wetu, kila la kheri Ngorongoro Heroes, DR Congo lazima wakae!

ADVERTISE HERE