Yanga imemtambulisha rasmi kiungo mshambuliaji Shekhan Ibrahim Khamis aliyesajiliwa kutoka klabu ya JKU
Kwa takribani siku nne usajili wa Shekhan ulitawala mitandao ya kijamii kutokana na vile usajili huo ulivyokamilishwa na Makamu wa Rais wa Yanga Arafat Haji
Shekhan ametua Yanga kwa mkataba wa miaka mitatu
Karibu Jangwani Shekhan.....!
ADVERTISE HERE