Katika mwezi Novemba Yanga ndio klabu iliyofuatiliwa zaidi mitandaoni kwa mujibu wa takwimu za mtandao wa Instagram
Yanga imefuatiliwa mara Mil 8.5 katika mtandao huo wakati nafasi ya pili ikishikwa na Wydad yenye 6.9
Simba inashika nafasi ya tatu ikiwa na 6.4 nafasi ya nne ikienda kwa Al Ahly
Itoshe kusema Yanga sasa imefika kwenye daraja la timu kubwa kazi iliyobaki ni kupeleka mafanikio haya uwanjani
ADVERTISE HERE