Aucho kutumikia adhabu ya mechi tatu

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
15 Dec 2023
Aucho kutumikia adhabu ya mechi tatu

Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi ya Bodi ya Ligi imejadili maombi ya merejeo (review) ya klabu ya Yanga kuhusu adhabu ya kufungiwa michezo mitatu (3) na kutozwa faini ya sh. 500, 000 iliyotolewa kwa mchezaji Khalid Aucho kupitia kikao cha kamati hiyo cha Novemba 14, 2023

Hata hivyo, baada ya kupitia maelezo ya klabu ya Yanga na kanuni za Ligi, kamati imejiridhisha kwa mara nyingine kuwa adhabu iliyotolewa kwa mchezaji huyo ni sahihi hivyo anapaswa kuendelea kuitumikia, huku ikimtaka mchezaji huyo kuzingatia mchezo wa kiungwana wakati wote

Yanga iliomba review kwa kuzingatia matukio yaliyotokea kwa wachezaji wengine huko nyuma ambao hawakuadhibiwa na Kamati baada ya kuwa wamepata adhabu kutoka kwa waamuzi baada ya makosa yao kubainika uwanjani

Aucho sasa atakosa mechi tatu za ligi zinazofuata akianza na mchezo dhidi ya Mtibwa Sugar utakaopigwa uwanja wa Azam Complex kesho

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
4h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
8h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
13h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
13h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
13h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
17h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’