Arafat awaandalia Wananchi zawadi Azam Complex

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
15 Dec 2023
Arafat awaandalia Wananchi zawadi Azam Complex

Meneja wa Kitengo cha Habari na Mawasiliano klabu ya Yanga Ali Kamwe amesema Makamu Rais wa timu hiyo Arafat Haji amewaandalia 'surprise' mashabiki watakaojitokeza kushuhudia mchezo wa ligi kuu dhidi ya Mtibwa Sugar utakaopigwa kesho Jumamosi katika uwanja wa Azam Complex

Wakati dirisha dogo la usajili likitarajiwa kufunguliwa saa 6:01 usiku, usajili wa kwanza katika dirisha hilo huenda ukatambulishwa Chamazi

"Makamu wa Rais wa Yanga Arafat Haji maarufu kama 'Mzee wa Kindege' ameandaa zawadi maalum kwa mashabiki watakaojitokeza uwanja wa Azam Complex hapo kesho kushuhudia mchezo wa ligi kuu dhidi ya Mtibwa Sugar"

"Mwananchi hakikisha unawahi mapema Azam Complex usije kukosa tuko hili," alisema Kamwe

Kiungo aliyesajiliwa kutoka JKU ya Zanzibar Shekhan Ibrahim Khamis huenda akatambulishwa pale Chamazi

'Kindege' cha Arafat ndicho kilichofanya maajabu kwa kumnyakua Shekhan juu kwa juu wakati akielekea upande wa pili..!

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
2h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
6h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
7h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
7h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
10h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’