Yanga kushusha kiungo kutoka Zanzibar

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
14 Dec 2023
Yanga kushusha kiungo kutoka Zanzibar

Yanga ina historia ya kipekee na visiwa vya Zanzibar na haishangazi nyota wanaosajiliwa kutoka visiwa Zanzibar hun'gara zaidi wakicheza Yanga kuliko klabu nyingine yoyote Tanzania Bara

Imekuwa sehemu ya utamaduni wa Yanga katika kila dirisha la usajili kuongeza fundi angalau mmoja kutoka visiwani Zanzibar

Chanzo kisicho na shaka kimebainisha kuwa Yanga tayari imekamilisha usajili wa kiungo fundi Shekhan Ibrahim Khamis anayeitumikia klabu ya JKU

Makamu wa Rais wa Yanga Arafat Haji anatajwa kufanikisha usajili wa kiungo huyo anayemudu kucheza nafasi ya kiungo mkabaji

Kulikuwa na vigogo wengine kutoka jijini Dar es salaam waliokuwa wakimuwania Shekhan (18) lakini ni wazi kwa sasa Yanga ni chaguo la kwanza kwa mchezaji yeyote mwenye ndoto ya kufanikiwa katika soka

Shekhan amepewa kandarasi ya Miaka mitatu kuwatumikia mabingwa hao wa Tanzania Bara

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
6h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
12h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
15h ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
16h ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
17h ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
17h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
21h ago
READ MORE β†’
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
1d ago
READ MORE β†’
Behlulovic anasubiri simu ya Injinia Hersi
Behlulovic anasubiri simu ya Injinia Hersi
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yaondoka Arusha, kituo kinachofuata ni Mashujaa Fc
Yanga yaondoka Arusha, kituo kinachofuata ni Mashujaa Fc
1d ago
READ MORE β†’