Jumamosi Disemba 16 2023 Yanga itashuka uwanja wa Azam Complex kumenyana na Mtibwa Sugar katika mchezo wa ligi kuu ya NBC
Yanga imetangaza viingilio vya mchezo huo ambapo VIP A ni Tsh 20,000/-, VIP B ni Tsh 10,000/- na Mzunguuko ni Tsh 5,000/-

ADVERTISE HERE