Rais wa Yanga Injinia Hersi Said leo amehudhuria kikao cha kwanza cha kamati ya utendaji cha CAF kilichofanyika Marrakech - Morocco
Hersi amehudhuria kikao hicho akiwa Mwenyekiti wa vilabu vya soka Barani afrika (ACA)
Nafasi hiyo imempa sifa ya kuhudhuria vikao vyote vya Kamati ya Utendaji CAF





ADVERTISE HERE