Aucho kuanza kutumikia adhabu Jumamosi

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
10 Dec 2023
Aucho kuanza kutumikia adhabu Jumamosi

Jumamosi Disemba 16 katika uwanja wa Azam Complex, Yanga itakuwa mwenyeji wa Mtibwa Sugar katika mchezo wa ligi kuu ya NBC

Kiungo Khalid Aucho ataanza kutumikia adhabu yake ya kufungiwa mechi tatu, hivyo Kocha Mkuu wa Yanga Miguel Gamondi atahitaji kufanya mabadiliko katika eneo la kiungo

Mudathir Yahya anatarajiwa kurejea kikosi pengine akicheza sambamba na Zawadi Mauya, Salum Abubakar au Jonas Mkude ambaye hajaonekana uwanjani kwa muda mrefu

Aucho anatarajiwa kukosa mechi za ligi dhidi ya Mtibwa Sugar, Tabora United na Kagera Sugar ambazo zote zitapigwa mwezi huu

Lakini ataendelea kuwa sehemu ya kikosi katika mchezo wa ligi ya mabingwa dhidi ya Medeama ambao utapigwa Disemba 20

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
3h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
4h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
4h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
7h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
22h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
23h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’