Kikosi cha Yanga kimerejea nchini Alfajiri ya leo Jumapili wakitokea Ghana ambako juzi walilazimishwa sare ya bao 1-1 dhidi ya Medeama katika mchezo wa ligi ya mabingwa barani Afrika
Kituo kinachofuata kwa Yanga ni mchezo wa ligi kuu dhidi ya Mtibwa Sugar ambao utapigwa Jumamosi ijayo, Disemba 16 katika uwanja wa Azam Complex







ADVERTISE HERE