Yanga yaondoka Ghana kurejea Dar

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
9 Dec 2023
Yanga yaondoka Ghana kurejea Dar

Kikosi cha Yanga kimeondoka Ghana asubuhi ya leo Jumamosi kurejea jijini Dar es salaam kuendelea na ratiba ya mechi nyingine zinazofuata

Meneja wa Habari na Mawasiliano klabu ya Yanga Ali Kamwe amesema timu itawasili jijini Dar es salaam majira ya saa 9:40 usiku

"Tunaondoka Kumasi, Ghana asubuhi hii na Tutaingia Dar Es Salaam, Tanzania In Shaa Allah Saa 9:40 Usiku"

"Dua zenu ni muhimu Wananchi. Timu ifike salama na Tuanze pamoja Maandalizi ya kuzichanganya vyema karata zetu mwezi Desemba"

"Kuna mechi nyingi ngumu, muhimu Back To Back .. Hatutakiwi kuteleza hapa. Tushikamane na Kila mmoja atimize jukumu lake ili Furaha iendelee kubaki Jangwani," alisema Kamwe

Mchezo unaofuata ni ligi kuu ya NBC dhidi ya Mtibwa Sugar ambao utapigwa Jumamosi ijayo, Disemba 16 katika uwanja wa Azam Complex

Baada ya mchezo huo Yanga itahamishia nguvu zake kwenye ligi ya mabingwa kwa mchezo wa marudiano dhidi ya Medeama Fc utakaopigwa Disemba 20 kunako uwanja wa Benjamin Mkapa

Hii hapa ratiba ya mechi zote zitakazopigwa Disemba 2023

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
10h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
14h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
19h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
19h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
22h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’