Konkoni tayari kwa kazi maalum Ghana

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
6 Dec 2023
Konkoni tayari kwa kazi maalum Ghana

Mshambuliaji Hafiz Konkoni ni miongoni mwa wachezaji waliotua Ghana na kikosi cha Yanga kuelekea mchezo wa ligi ya mabingwa dhidi ya Medeama Fc utakaopigwa uwanja wa Baba Yara huko Kumasi

Baada ya kung'ara ligi kuu ya Ghana msimu uliopita akiwa na Benchem United, Konkoni amerejea tena Ghana lakini safari hii akiwa na Wananchi

Licha ya kutokuwa na nafasi ya kudumu kwenye kikosi cha kwanza, Konkoni anaweza kuwa silaha muhimu ya kuimaliza Medeama Fc siku ya IJumaa

Konkoni ni mwenyeji hapo Kumasi, amecheza mechi nyingi katika uwanja wa Baba Yara, kwake huu ni uwanja wa nyumbani

Analifahamu vyema soka la Ghana, msimu uliopita akishika nafasi ya pili katika ufungaji akiweka kambani mabao 15

Huyu ni mchezaji ambaye pengine hata Medeama hawatamani kumuona kwenye kikosi cha Yanga kitakachowakabili kwani anawafahamu vyema

Kisaikolojia, utayari na hamasa ni kubwa kwake, haitashangaza kama Kocha Miguel Gamondi atampa nafasi ya kuanza siku ya Ijumaa

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
6h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
6h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
9h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
10h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
14h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
15h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’