Bao alilofunga Pacome Zouzoua katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa dhidi ya Al Ahly limechaguliwa kuwa goli bora la wiki katika raundi ya pili ya hatua ya makundi
Pacome alifunga bao hili kwa ustadi kwenye dakika za lala salama akiambaa na mpira kutoka winga ya kushoto kabla ya kupasiana '1-2' na Kennedy Musonda. Pacome pia ameingia kwenye kikosi bora cha wiki
Pacome anauwasha moto kwelikweli ligi ya mabingwa, hii ni tuzo ya kwanza kwake
In Tanzania & between 3 defenders #TotalEnergiesCAFCL matchday 2 #GoalOfTheWeek goes to Pacôme Zouzoua of @YoungAfricansSC pic.twitter.com/0sZyWMNlyA
— TotalEnergiesCAFCL & TotalEnergiesCAFCC (@CAFCLCC) December 4, 2023
ADVERTISE HERE