Leo asubuhi kikosi cha Yanga kimeendelea na mazoezi uwanja wa Jamhuri kujiandaa na mchezo wa robo fainali kombe la FA dhidi ya Singida United.
Mchezo huo utapigwa siku ya Jumapili, April 01 kwenye uwanja Namfua mkoani Singida.
Kiungo Thabani Kamusoko na mshambuliaji Donald Ngoma ni miongoni mwa wachezaji walioshiriki kikamilifu mazoezi hayo.

ADVERTISE HERE