Matchday : Yanga vs Al Ahly, CAL CL

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
2 Dec 2023
Matchday : Yanga vs Al Ahly, CAL CL

Wananchiiiiii hatimaye Disemba 02 imefika! Ni siku kubwa kwa mashabiki wa Yanga kwani leo wataishuhudia timu yao katika uwanja wa Benjamin Mkapa ikiumana na vigogo wa soka barani Afrika, Al Ahly. Ni mchezo wa pili wa kundi D, Ligi ya Mabingwa barani Afrika

Baada ya kupoteza ugenini katika mchezo wa kwanza, leo Yanga inazihitahaji alama zote tatu ili kuweka hai matumaini ya kuvuka hatua ya makundi

Uwanja wa Benjamin Mkapa utakuwa 'full house' kwa wale ambao hawana tiketi bado wana muda wa kuhakikisha wanakuwa mashuhuda wa mechi hii ya kihistoria

Mara ya mwisho Yanga na Al Ahly zilichuana uwanja wa Benjamin Mkapa miaka 7 iliyopita na mchezo kumalizika kwa matokeo ya sare ya bao 1-1

Leo ni mchezo mwingine ambao Kocha Miguel Gamondi ataiongoza Yanga iliyo katika ubora mkubwa

Haitakuwa rahisi lakini hakuna jambo lisilowezekana kwenye mpira wa miguu. Hamasa ya mashabiki itakuwa kubwa katika siku hii ya maalum 'Bacca Day'

Mchezo utapigwa kuanzia saa 1 usiku...

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
4h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
7h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
12h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
12h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
12h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
16h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’