Klabu ya Yanga leo imezindua tawi Yanga Experience ambalo linapatikana kwenye ufukwe wa Coco Beach, Masaki
Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya Yanga Rodgers Gumbo alizindua tawi hilo lenye wanachama 138 huku akiwasisitiza kuongeza idadi hiyo







ADVERTISE HERE