Beki wa kati wa Yanga Ibrahim Bacca ameongeza mkataba wake wa kuendelea kuwatumikia Wananchi
Mkataba wake wa awali umeboreshwa zaidi na sasa utafikia tamati mwaka 2027
Kwa lugha rahisi ni kuwa Bacca ataendelea kuitumikia Yanga kwa miaka minne
Kiwango bora anachoendelea kuonyesha katika kikosi cha Yanga kimewashawishi mabosi kumpa mkataba wa muda mrefu
ADVERTISE HERE