Klabu ya Yanga leo saa 5:30 asubuhi itakuwa na Mkutano na Wanahabari
Mkutano huo utafanyika Hoteli ya Golden Tulip, Zanzibar Airport
Ni kuelekea mchezo wa Ligi ya Mabingwa dhidi ya Al Ahly ambao utapigwa Jumamosi, Disemba 02 katika uwanja wa Benjamin Mkapa

ADVERTISE HERE