Pacome ameonyesha thamani yake

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
25 Nov 2023
Pacome ameonyesha thamani yake

Kiungo mshambuliaji wa Yanga Pacome Zouzoua jana aling'ara katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa dhidi ya CR Belouizdad ambao hata hivyo Yanga ilipoteza kwa mabao 3-0

Pacome alifanya kazi kubwa dimbani pengine ndiye mchezaji aliyegusa mipira mingi zaidi upande wa Yanga

Kama waamuzi wangekuwa 'fair', alistahili kupewa mkwaju wa penati dakika za mwanzo baada ya kuangushwa ndani ya eneo la hatari

Pacome ameonyesha ni mchezaji wa daraja la juu kwani aliweza kung'ara katika mchezo ambao ulikuwa na presha kubwa kutoka kwa wenyeji

Aina ya mechi ambayo Maxi Nzengeli na Stephane Aziz Ki hawakuonekana sana kutokana na ulinzi mkali waliowekewa lakini haikuwa rahisi kumdhibiti Pacome ambaye kila alipokuwa na mpira wachezaji wawili au zaidi walijaribu kumkaba pasipo mafanikio

Pacome alifanya mambo mengi uwanjani kwa usahihi ni bahati mbaya kazi yake nzuri haitakumbukwa kwa sababu Yanga ilipoteza mchezo huo

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
1m ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
4h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
5h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
5h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
8h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
23h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’