Yanga itaikabili Belouizdad kwa tahadhari kubwa

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
24 Nov 2023
Yanga itaikabili Belouizdad kwa tahadhari kubwa

Yanga leo itaingia kwa tahadhari kubwa kuikabili CR Belouizdad katika mchezo wa kwanza wa hatua ya makundi ligi ya mabingwa barani Afrika

Uwanja wa July 05 1962 ulikuwa kama eneo la vita msimu uliopita wakati Yanga ikiumana na USM Alger katika mchezo wa pili wa fainali ya CAF CC. Wachezaji walijitoa kwelikweli na kufanikiwa kuibuka na ushindi wa bao 1-0 licha ya mazingira magumu

Jambo ambalo Yanga haipaswi kufanya mapema katika mchezo huo ni kuruhusu bao kwani ikitokea hivyo ni wazi yale yaliyotokea msimu uliopita, fataki, mabomu na hata mipira sita kurushwa uwanjani yanaweza kujirudia

Ubora ambao Yanga walionyesha mara ya mwisho walipocheza na USM Alger, umewapa hofu wenyeji wao CR Belouizdad kuelekea mchezo utakaopigwa saa 4 usiku

Habari njema ni kuwa zaidi ya asilimia 80 ya wachezaji waliotumika kwenye fainali ya CAF CC wapo, leo watakuwa silaha muhimu ya kuimaliza CR Belouizdad

Makamu wa Rais wa Yanga Arafat Haji amesema wamechukua hatua zote muhimu kuhakikisha timu inapata utulivu na kujiandaa vyema na mchezo huo

Sasa ni limebaki jukumu la wachezaji kwenda kuipigania Yanga uwanjani

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
6h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
7h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
10h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
11h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
15h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
16h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’