Sheria Ngowi ni mwamba, ameendelea kudhihirisha hana mpinzani Tanzania na pengine Afrika Mashariki linapokuja suala la ubunifu kwenye jezi. Hizi hapa jezi za nyumbani, ugenini na toleo la tatu
Jezi zitaanza kupatikana madukani Novemba 30 kwa bei ya Tsh 50,000
ADVERTISE HERE