Kikosi cha Yanga kimewasili salama nchini Algeria tayari kwa mchezo wa ligi ya mabingwa hatua ya makundi dhidi ya CR Belouizdad
Mchezo huo utapigwa Ijumaa, Novemba 24 katika uwanja wa July 05, palepale ambapo Yanga ilimenyana na USM Alger na kuibuka na ushindi wa bao 1-0 msimu uliopita kwenye fainali ya kombe la Shirikisho (CAF CC)
Msafara wa pili wa wachezaji ambao wako katika majukumu ya timu za Taifa watawasili kesho Jumatano
Kikosi kimewasili salama Algers, Algeria. Tayari kwa maandalizi ya mchezo wetu wa kwanza #CAFCL hatua ya makundi dhidi ya CR Belouizdad utakaochezwa Ijumaa ya tarehe 24.11.2023.
β Young Africans SC (@YoungAfricansSC) November 21, 2023
Sehemu ya pili ya Wachezaji wetu wanaocheza mechi za kuwania kufuzu Kombe la Dunia kwenye mataifa⦠pic.twitter.com/i4F3I9iBmS
ADVERTISE HERE